Mtunzi: Eng.Richard Samson
> Mfahamu Zaidi Eng.Richard Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Eng.Richard Samson
Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwanzo
Umepakiwa na: Richard Samson
Umepakuliwa mara 26 | Umetazamwa mara 40
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Kwaresma Mwaka C
Macho yangu humwelekea Bwana daima x2
Naye atanitoa miguu yangu, naye atanitoa miguu yangu, naye atanitoa miguu yangu katika wavu x2
1. Uniangalie na kunifadhili maana mimi ni mkiwa na mteswa.
2. Utazame teso langu na taabu yangu unisamehe dhambi zangu dhambi zangu.