Mtunzi: Vitalis J. Mwinyi
> Mfahamu Zaidi Vitalis J. Mwinyi
> Tazama Nyimbo nyingine za Vitalis J. Mwinyi
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: VITALIS MWINYI
Umepakuliwa mara 2,737 | Umetazamwa mara 6,406
Download Nota Download MidiKiitikio
Macho yangu humwelekea Bwana daima (Bwana) naye atanitoa miguu yangu katika wavu x2
Uniangalie na kunifadhili maana mimi ni mkiwa, ni mkiwa na mteswa x 2
Mashairi
1. Katika shida za moyo wangu (Bwana) unifanyie nafasi
2. U ta - za me te - so la ngu (Bwa na); u ni sa me he dha mbi za ngu
3. U wa ta za me a - du i za ngu (za ngu); wa ni chu ki a o kwa u ka li
4. Uni - linde na - fsi ya ngu (Bwa na); ni si a i bi ke mi le le.