Ingia / Jisajili  Changia

Maisha Ya Ndoa

Mtunzi: Fr. C.P. Charo, OFM Cap.
> Mfahamu Zaidi Fr. C.P. Charo, OFM Cap.
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. C.P. Charo, OFM Cap.

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Charles charo

Umepakuliwa mara 529 | Umetazamwa mara 1,154

Download Nota (TZS 20) Download Midi
Maneno ya wimbo

Mungu alinuia toka mwanzo waumbaji mume na mke wawe kitu kimoja katika ndoa wakiunganishwa na pendo  hata milele, kwa hiyo hii ni ishara ya fumbo la umoja na upendo kati ya Kristu na kanisa lake, kwa hiyo Ee Mungu ibariki ndoa ya wapenzi hawa leo waishi katika pendo milele.

1. Mungu alimfanyia Adamu msaidizi nawe leo amekupa wako.

2.Yu heri mume akipata mke mwema siku zake zitakuwa maradufu.

3.Mwanamke mtulivu nitunu ya bwana ni neema juu ya neema.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa