Mtunzi: Patrick Konkothewa
                     
 > Mfahamu Zaidi Patrick Konkothewa                      
 > Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Konkothewa                 
Makundi Nyimbo: Watakatifu | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 474 | Umetazamwa mara 2,301
Download Nota Download MidiMalaika wa Bwana Huwafanya kituo akiwazungukia wamchao akiwazungukia wamchao akiwazungukia wamchao na kuwaokoa x2
Mashairi:
1. Nitamhimidi Bwana kila wakati / sifa zake zi kinywani mwangu daima / katika Bwana nafsi yangu itajisifu wanyenyekevu wasikie wakafurahi.
2. Mtukuzeni Bwana pamoja nami / na tuliadhimishe jina jina lake / pamoja nalimtafuta Bwana akanijibu akaniponya hofu zangu zote.
3. Wakamwelekea macho wakati wa nuru / wala nyuso zao hazita ona haya / masikini huyu aliita Bwana akasikia amwokoa taabu zake.