Mtunzi:
> Tazama Nyimbo nyingine za
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Edward Challe
Umepakuliwa mara 1,695 | Umetazamwa mara 4,482
Download Nota Download MidiMama Maria Bikira mwombezi wa wanyonge (mama) utuombee sisi wakosefu x2
1. Mama wa kristu utuombee mama wakanisa utuombee.
2. Mama mpendelevu utuombee, mama mstajabivu u-tuombee
3. Mama wa shauri shauri jema, mama wa muumba u-tuombee.
4. Bikira mwenye sifa utuombee, Bikira mwenye enzi u-tuombee.
5. Kioo cha haaki utuombee, kikao cha hekima u-tuombee.
6. Chombo cha neema utuombee, chombo cha heshima u-tuombee.