Mtunzi:
> Tazama Nyimbo nyingine za
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Edward Challe
Umepakuliwa mara 1,949 | Umetazamwa mara 4,808
Download Nota Download MidiKiitikio.
Nasfi yangu yamgoja mungu (nafsi) yamngoja Mungu yamngoja Mungu,yamngoja Mungu wangu peke yake kwa kimya yamngoja Mungu peke yake kwa kimya x2
Shairi...
1. Nafsi yangu yamngoja Mungu peke yake, peke yake kwa kimya, peke yake kwa kimya, wokovu wangu hutoka kwake.
2. Yeye tu ndiye mwamba wangu na wokovu, nawokovu wangu, na wakovu wangu, ngome yangu sitatikisika.
3. Nafsi yangu umngoje Mungu peke yake, peke yake kwa kimya,peke yake kwa kimya,tumaini langu hutoka kwake.