Mtunzi:
> Tazama Nyimbo nyingine za
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Edward Challe
Umepakuliwa mara 1,764 | Umetazamwa mara 4,463
Download NotaMsifuni Bwana kwa nyimbo na zaburi Bwana ametenda(ametenda) mambo yaajabu x2
Piga kinanda piga kinubi na vigelegele, imba sifuni Bwana katenda mambo ya ajabu x2
1. Msifuni msifuni msifuni Mungu kwa kupiga zeze,kwa kinubi cha nyuzi kumi, pigeni ngoma kwa ustadi na shangwe x2
2. Kageuza kageuza kageuza bahari, kuwa nchi kavu matendo yake niyakutisha ni yakutisha yanatisha sana x2