Mtunzi: Mmole G.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mmole G.
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Gereon Mmole
Umepakuliwa mara 329 | Umetazamwa mara 2,050
Download Nota Download MidiKiitikio:
Mama Maria mama wa mateso, utuombee. x2
Viimbilizi:
1. Ulishiriki mateso yaa mwanao Yesu Kristo, akapata nguvu ya kutimiza ukombozi, tuombee na sisi ili tuweze kutambua shida za wenzetu.
2. Bikira Maria Mtakatifu, Malkia wetu na mama yetu,msaada wa Wakristo, utuombee tufanye toba ya kweli.
3.Kwa maombezi matukufu ya mama Maria, Bikira daima, tuopolewe katika masikitiko ya sasa, tupate furaha ya milele,
kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.