Mtunzi: Peter Makolo
> Mfahamu Zaidi Peter Makolo
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter Makolo
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: Peter Makolo
Umepakuliwa mara 2,347 | Umetazamwa mara 5,866
Download Nota Download MidiMAPENZI YAKO YATIMIZWE, Peter Makolo
Baba yangu, ikiwa haiwezekani kikombe hiki kiniepuke nisipokunywa, mapenzi yako yatimizwe x2
Mashairi
Akamchukua Petro, na wana wa Zebedayo, akahuzunika na kusononeka.
Ndipo akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa, kaeni hapa mkeshe pamoja nami
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kufudifudi, akaomba akisema
Akawajia wanafunzi, akawakuta wamelala akamwambia Petro,
Kimalizio
Je, hamkuweza kukesha nami hata saa moja, kesheni mwombe, msije mkaingia majaribuni {(kwani) Roho i radhi lakini mwili ni dhaifu.x2}