Mtunzi: Peter Makolo
> Mfahamu Zaidi Peter Makolo
> Tazama Nyimbo nyingine za Peter Makolo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 687 | Umetazamwa mara 2,912
Download Nota Download MidiTuijongee meza meza ya Bwana Yesu Kristu wenye mioyo safi Yesu atualika x2
Tukale mwili na kunywa damu yake twendeni kwa moyo safi atualika tukampokee x2