Ingia / Jisajili

Mataifa Yote Ya Ulimwengu

Mtunzi: Frt. Joseph Mwakapila
> Mfahamu Zaidi Frt. Joseph Mwakapila
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Joseph Mwakapila

Makundi Nyimbo: Epifania

Umepakiwa na: Joseph Isaya Mwakapila

Umepakuliwa mara 1,096 | Umetazamwa mara 3,302

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

MaKiitikio:   Mataifa yote ya ulimwengu x 2.

Watakusujudia Ee Bwana watakusujudia x 2.

  1. Ee Mungu mpe mfalme hukumu zako, na mwana wa mfalme haki zako, atawaamua watu kwa haki, na watu walioonewa kwa hukumu.

  1. Siku zake mtu mwenye haki atasitawi, na wingi wa amani hata mwezi utakapokoma, na awe na enzi toka bahari hata bahari, toka mto hata miisho ya dunia.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa