Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 3 | Umetazamwa mara 1
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 28 Mwaka C
MATAJIRI HUTINDIKIWA
Matajiri hutindikwa, huona njaa, bali wamtafutao Bwana, hawatahitaji kitu chochote, kilicho chema x2
1. Onjeni muone, yakuwa Bwana, yu mwema, heri mtu yule, anayemtumaini