Mtunzi: B N Mogeni
> Mfahamu Zaidi B N Mogeni
> Tazama Nyimbo nyingine za B N Mogeni
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Brian Mogeni
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download Midi
MATOLEO YANGU UPOKEE
Naja kwako Bwana na matoleo yangu, uliyonijalia naomba upokee pia unibariki,
Ni jasho langu Bwana kazi ya mikono, yangu navyo vipaji ulivyonijalia nakutolea vyote
1. Mkate na divai mazao ya mashamba,
naleta upokee pia uyabariki
2. Kazi ya mikono yangu pia ninaleta,
nakuomba pokea pia uibariki
3. Nayo nafsi yangu Bwana ninakukabidhi,
naomba nipokee pia unibariki
4. Navyo vipaji ulivyonijalia Mungu
ninakupa vyote chukua ni mali yako