Mtunzi: B N Mogeni
> Mfahamu Zaidi B N Mogeni
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Brian Mogeni
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 2
Download Nota Download Midi
NINAJONGEA ALTARE
Ninajongea Altare yako Mungu wangu, nimpokee Kristo katika Ekaristi x2
Njoo ndani yangu Kristo, ufanye makao yako milele, nami ndani yako Kristo nipate uzima milele x2
1. Mwili wako Bwana chakula cha roho, damu yako Bwana Kinywaji cha roho
2. Kila aulaye apata uzima, kila ainywaye apata uzima.
3. Nami nasadiki ni mwili wako, pia naamini ni damu halisi.
4. Twende ndugu twende tukampokee, tupate uzima usio na mwisho.