Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito
Umepakiwa na: Halisi Ngalama
Umepakuliwa mara 661 | Umetazamwa mara 3,612
Download Nota Download MidiMavuno ni mengi watenda kazi wachache katika kanisaX2 vijana wengi wapende kujiunga na utawa ili kanisa lipate watenda kazi X2
1; Tuwaombee vijana walioko masomoni wapende kujiunga na utawa.
2;Vijana wengi wapende kujiunga na utawa na wawe nguzo bora ya maisha.