Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Kwaresma
Umepakiwa na: Halisi Ngalama
Umepakuliwa mara 1,805 | Umetazamwa mara 3,837
Download Nota Download MidiBwana hakika wewe ndiwe mwokozi wa ulimwenguX2
Unipe maji yale ya uzima uzima nisione kiu kamweX2
1; Y esu kristu akamwambia mwanamke msamalia akinywa maji hayo hataona kiu kamwe
2; Ndipo Yesu akathibitisha ukweli wa mambo yote kwa mwanamke yule kuwa ndiye kristu Bwana