Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Watakatifu
Umepakiwa na: Halisi Ngalama
Umepakuliwa mara 275 | Umetazamwa mara 1,729
Download NotaKIITIKIO
Mtakatifu Bernadetha somo wetu X2
Utuombee ili tuishi maisha matakatifu kama weweX2
SHAIRI
1.Tunaiombea kwaya yetu iwe na umoja upendo mshikamano.
2.Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwakutufikisha katika siku ya leo.
3.Mtakatifu Bernadetha somo wetu sisi utuombee kwa Mungu.