Ingia / Jisajili

Neno Moja Nimelitaka Kwa Bwana

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 10 | Umetazamwa mara 36

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 11 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 11 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 11 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NENO MOJA (KWELI) NIMELITAFUTA KWA BWANA BWANA NALO NDILO NITAKALO LITAFUTA x2 (NIKAE NYUMBANI MWA BWANA SIKU ZOTE ZAMAISHA YANGU x2 (1) Nikae Nyumbani Mwa mwenyezi mungu.sikuzote zamaisha yangu . (2).Niutazame uzuri wa Bwana. Nakutafakari hekaruni Mwa Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa