Ingia / Jisajili

Shamba La Mizabibu

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 110 | Umetazamwa mara 217

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
SHAMA LA MIZABIBU NDILO .NYU- MBA NDILO NYU-MBA YAISRAELI X2.SHAMBA MI ZA-BIBU NDILO NYU-MBA NDILO NYUMBA NDILO YUMBA YAISRAELI X2 Fine (1)Ulileta mzabibu kutoka misri.ukawafukuza mataifa ukaupanda naouliya eneza matawi yake hata baharini.navichipukizi vyake hata kunako-mto.(2)Kwa- nini umezibomoa kutazake , wakau chuma wore wapitao njiani.nguruwe wa msituni wanauharibu. Nahayawani wakondeni wanautafuna.(3).EE mungu was majeji tunakusihi urudi utazame toka juu uone.uujilie, mzabibu huu na mcheule ulio upanda kwa .mkono wakuume.(4).Basi hatutakuacha kuacha kwa kurudi nyuma.utuhuishe-nasi nasitutaliitia jina lakoEe-Bwana mungu wamajeshi.uturudishe uangazishe uangazishe uso waki nasitutaliitia okoka.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa