Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Matawi
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 0
Download NotaMBONA UMENIACHA
Mungu wangu Mungu wangu, mbona umeniacha x2
1. Wote wanionao hunicheka, sana, hutikisa vichwa vyao na kunifyonya,na kunifyolea