Ingia / Jisajili

Mpigieni Mungu Kelele

Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 9 | Umetazamwa mara 14

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 14 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

MPIGIENI MUNGU KELELE

Mpigieni Mungu kelele za shangwe, kwa vigelegele ngoma na vinanda,( mpigieni kelele vigelele, tukuzeni sifa zake)x2

1. Mfanyieni shangwe Mungu wa majeshi, zitangazeni sifa zake


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa