Ingia / Jisajili

Mbona Umeniacha

Mtunzi: Alvin Marie
> Mfahamu Zaidi Alvin Marie
> Tazama Nyimbo nyingine za Alvin Marie

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Matawi

Umepakiwa na: Alvin Marie

Umepakuliwa mara 216 | Umetazamwa mara 712

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mungu wangu, Mungu wangu mbona umeniacha 1. Wote wanionao hunifyonya wakivitikisa vichwa vyao 2. Mbwa mwitu wamenizunguka, na waovu wamenizingira 3. Vazi langu lapigiwa kura, mwili wangu nimetobolewa

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa