Mtunzi: Dr. Charles N. Kasuka
> Mfahamu Zaidi Dr. Charles N. Kasuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Charles N. Kasuka
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 871 | Umetazamwa mara 2,402
Download Nota Download MidiMiisho yote Dunia imeuona x2 {Imeuona, imeuona, imeuona Wokovu wa Mungu wetu x2}
1.Mwimbieni Bwana wimbo mpya, kwa maana ametenda Mambo, ametenda Mambo ya ajabu.
2.Bwana ameufunua wokovu, machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
3.Amezikumbuka Rehema zake , kwa uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli.
4.Mshangilieni Bwana Nchi yote, inueni sauti imbeni kwa Furaha Zaburi.