Ingia / Jisajili

Mikononi mwako naiweka roho yangu ee Bwana

Mtunzi: Emil E Muganyizi
> Tazama Nyimbo nyingine za Emil E Muganyizi

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma | Watakatifu | Zaburi

Umepakiwa na: Emil Mwemezi

Umepakuliwa mara 677 | Umetazamwa mara 2,007

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

SIKUKUU YA MT. STEPHANO SHAHIDI.

Mikononi mwako naiweka (naiweka), naiweka roho, ya-ngu ee Bwana ×2

  1. Uwe kwangu mwamba, mwamba wa nguvu, nyu--mba yenye, yenye maboma, yenye maboma, ya kuniokoa.
  2. Ndiwe genge langu, na ngome yangu, kwa ajili ya jina, ji-na lako, u-niongoze, unichunge.
  3. Mikononi mwako, naiweka roho, naiweka roho ya-ngu, umenikomboa, Ee Bwana, Mungu wa kweli.
  4. Ba-li mimi, namtumaini, namtumaini Bwana, na nishangilie, ni-zifurahie, fadhili zako.
  5. Umwangaze, mtumishi wako, kwa nuru ya uso wa-ko, uniokoe, uniokoe kwa ajili, ya fadhili zako.




Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa