Mtunzi: Emil E Muganyizi
> Tazama Nyimbo nyingine za Emil E Muganyizi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Emil Mwemezi
Umepakuliwa mara 1,538 | Umetazamwa mara 4,196
Download Nota Download MidiUlimi wangu na ugandamane na kaakaa la kinywa changu (mimi) nisipoku-mbuka X2
01. Kando ya mito ya Babeli, ndiko tulikoke-ti, tukalia tulipoikumbuka Sayuni, katika mi-ti iliyo kati yake tulivitundika vinubi vyetu.
02. Maana huko waliotuchukua, wal'otuchukua mateka, wa-lita-ka tuwaimbi-e, na waliotuonea walitaka furaha, tuimbeni nyimbo za Sa-yuni.
03. Tu-uimbe-je wimbo, tuuimbeje wimbo wa Bwana, ka-tika katika nchi ya wa-geni, Yerusalemu nikikusahau wewe, mkono wangu na usahau.
04. Nisipoikuza Yerusalemu, zaidi ya furaha yangu iliyo kuu.