Mtunzi: Fr. Gregory F. Kayeta
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Gregory F. Kayeta
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Joseph Isaya Mwakapila
Umepakuliwa mara 9,763 | Umetazamwa mara 14,287
Download Nota Download MidiMimi mzabibu nanyi matawi x2
1. Mimi mzabibu kweli nanyi matawi yangu, kaeni ndani yangu nami nikae ndani yenu, mimi mzabibu mimi mzabibu
2. Asiyekaa ndani yangu haezi kuzaa matundo bila nguvu yangu mimi hawezi kufanya lolote, mimi mzabibu…
3. Mimi mzabibu kweli na Baba yangu ni mkulima tawi lenye kutozaa Baba yangu huliondoa, mimi mzabibu…
4. Tawi linozaa matunda Baba yangu hulisafisha Msipokaa ndani yangu hamuwezi zaa matunda, mimi mzabibu…