Mtunzi: Felician Albert Nyundo
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Albert Nyundo
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: Vusile Silonda
Umepakuliwa mara 16,155 | Umetazamwa mara 25,626
Download NotaUTUHURUMIE BWANA
NYUNDO IX
Utuhurumie Ee Bwana Ee Bwana utuhurumie
Utuhurumie Ee Bwana Ee Bwana utuhurumie
Ewe Kristu, utuhurumie, utuhurumie, Ewe Kristu (utuhurumie) Ewe Kristu, tuhurumie, tuhurumie
Ewe Kristu, utuhurumie, utuhurumie, Ewe Kristu (utuhurumie) Ewe Kristu, tuhurumie, tuhurumie.
MWANAKONDOO WA MUNGU.
Mwana kondoo, mwana kondoo wa Mungu uondoaye dhambi za dunia tuhurumie
Mwana kondoo, mwana kondoo wa Mungu uondoaye dhambi za dunia tuhurumie
Mwana kondoo, mwana kondoo wa Mungu uondoaye dhambi za dunia utujalie amani, tujalie amani, tujalie amani, tujalie amani, utujalie. Tujalie amani, tujalie amani, tujalie amani, utujalie.