Mtunzi: Emmanuel Sebastian
> Mfahamu Zaidi Emmanuel Sebastian
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Sebastian
Makundi Nyimbo: Ndoa | Zaburi
Umepakiwa na: Emmanuel Sebastian
Umepakuliwa mara 1,866 | Umetazamwa mara 3,783
Download Nota Download Midi(K) Mke wako atakuwa kama mzabibu x 2
Wenye kuzaa mengi matunda, ndani ya nyumba yako x 2
Mashairi:
1. Wana wako watakuwa kama miche ya mizeituni na kuizunguka meza yako pande zote.
2. Tazama, tazama! Mungu atakubariki na uone wana wa wana wako, basi ukamche Yeye siku zote za maisha yako