Mtunzi: Emmanuel Sebastian
> Mfahamu Zaidi Emmanuel Sebastian
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Sebastian
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Emmanuel Sebastian
Umepakuliwa mara 560 | Umetazamwa mara 1,301
Download Nota Download Midi(K) Nitaondoka nitakwenda kwa Baba yangu
1. Ee Mungu unirehemu, sawasawa na wingi wa fadhili zako
Kiasi cha wingi wa rehema zako, uyafute makosa yangu/
Unioshe kabisa na uovu wangu, Na dhambi yangu i mbele yangu daima
2. Ee Mungu uniumbie moyo safi, uifanye upya roho iliyotulia ndani yangu/
Usinitenge na uso wako, wala roho yako takatifu usiniondolee
3. Ee Bwana uifumbue midomo yangu, Na kinywa changu kitazinena sifa zako/
Dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika,
Moyo uliyovunjika na kupondeka, Ee Mungu, hautaudharau