Mtunzi: Emmanuel Sebastian
> Mfahamu Zaidi Emmanuel Sebastian
> Tazama Nyimbo nyingine za Emmanuel Sebastian
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Emmanuel Sebastian
Umepakuliwa mara 599 | Umetazamwa mara 1,631
Download Nota Download MidiShangilio:
( Sauti ya Baba), Sauti ya Baba ilitoka katika wingu jeupe x 2
Huyu ni mwanangu, huyu ni mwanangu mpendwa wangu, msikieni yeye x 2