Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 722 | Umetazamwa mara 3,460
Download Nota Download Midi MKIMBUKE MUUMBA WAKO
Muhubiri: 12
KIITIKIO: Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako x 2
Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, na miaka utakaposema
sina furaha katika hiyo x2
1.Kabla nuru na mwezi na nyota havijatiwa giza,kabla ya kurudi mawingu baada ya mvua.
2.siku hile walinzi wa-linzi wa nyumba watakapotetema, wenye nguvu wakiinama kwa kukosa nguvu.
3. Mavumbi kurudia kuirudia n-chi kama yalivyokuwa, roho kurudi kwake Mungu aliyeitoa