Ingia / Jisajili

Mungu amepaa

Mtunzi: .
> Mfahamu Zaidi .
> Tazama Nyimbo nyingine za .

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: Derick Nducha

Umepakuliwa mara 86 | Umetazamwa mara 322

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 13 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 13 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 13 Mwaka C
- Katikati Kupaa kwa Bwana

Download Nota
Maneno ya wimbo

Mungu amepaa kwakelele za shangwe Bwana kwa sauti ya baragumuĂ—2

Mashairi

1.Enyi watu wote pigeni makofi mpigieni Mungu kelele za shangwe.

2.Mungu amepaa kwakelele za shangwe Bwana kwa sauti sauti  ya shangwe.

3.Bwana Mungu ndiye  Mfalme wa dunia Mwi-mbieni, imbeni kwa akili.

Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa