Mtunzi: Derick Nducha
> Mfahamu Zaidi Derick Nducha
> Tazama Nyimbo nyingine za Derick Nducha
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Derick Nducha
Umepakuliwa mara 485 | Umetazamwa mara 1,959
Download Nota Download MidiMoyo wangu umekuambia uso wako nitautafuta usinifiche.×2
1.Umekuwa msaada wangu usinitupe wala usiniache ee Mungu wa wokovu wangu.
2.Baba yangu na Mama yangu Bali Bwana Bwana atanikaribisha kwake.