Ingia / Jisajili

Moyo Wangu Wamtukuza Bwana

Mtunzi: Benard Masinde Kituyi
> Mfahamu Zaidi Benard Masinde Kituyi
> Tazama Nyimbo nyingine za Benard Masinde Kituyi

Makundi Nyimbo: Epifania | Mama Maria | Moyo Mtakatifu wa Yesu

Umepakiwa na: Norman Papa

Umepakuliwa mara 380 | Umetazamwa mara 1,141

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Utangulizi Ni nani huyu binti lama alfajiri *2 ni mzuri kama mwezi ana nuru kama jua, anatisha kama jeshi lililo tayari kupigana Chorus (Moyo wangu wamtukuza Bwana roho yangu inamshangilia kwa kuwa Mungu ni mkombozi wangu kwa kuwa Mungu ni mkombozi *2) wangu 1. Ameutazama upole wa mtumishi wakevizazi vyote watanisifu mwenye heri amenitendea makuu jina lake takatifu huruma yake ipo toka kizazi hata kizazi. 2.Ameonyesha enzi kwa mkono wake mkuu amewatawanya wenye kiburi myoyoni amewaondosha wale wenye enzi katika kiti Akawakuza walo' wanyenyekevu myoyoni mwao 3.Nao wenye njaa Bwana amewashibisha mema Matajiri wakarudi mikono mitupu amempokea Israeli kwa huruma yake kama alivyowaambia Ibrahimu na wazao 4.Atukuzwe Mungu Baba na Mwana naye Roho mtakatifu, kama mwanzo sasa na siku zote na milele Amina.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

yona Jan 10, 2023
Nimeipenda

Toa Maoni yako hapa