Ingia / Jisajili

Uje Roho Mtakatifu

Mtunzi: Benard Masinde Kituyi
> Mfahamu Zaidi Benard Masinde Kituyi
> Tazama Nyimbo nyingine za Benard Masinde Kituyi

Makundi Nyimbo: Pasaka | Pentekoste

Umepakiwa na: Norman Papa

Umepakuliwa mara 74 | Umetazamwa mara 244

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Walishikwa na fadhaa kwa mshangao walishtuka, inakuaje sisi sote kusikia kila mtu lugha tuliyozaliwa nayo, wanavyoyasema matendo makuu ya Mungu, wasemao ni wagaluilaya wala si wa makabila. Uje Roho mtakatifu uzienee nyoyo za waamini wako Aleluya Aleluya. 1. Ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote pamoja wakajazwa na roho mtakatifu. 2. Kukawatokea ndimi zilizogawanyikana kama ndimi za moto uliowakalia kila mmoja wao. 3. Walijazwa na Roho mtakatifu wakanena kwa Lugha mbalimbali, kama Roho alivyowajalia kuyatamka.
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Pius Juma May 19, 2024
Napongeza mtunzi, Mungu amulinde kabisa, amjalie afya njema na neema zaidi ya kumtumikia

Toa Maoni yako hapa