Ingia / Jisajili

Twende Kwa Bwana

Mtunzi: Benard Masinde Kituyi
> Mfahamu Zaidi Benard Masinde Kituyi
> Tazama Nyimbo nyingine za Benard Masinde Kituyi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Norman Papa

Umepakuliwa mara 480 | Umetazamwa mara 1,011

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1.Nyumbani mwake Bwana mnayo mema mengi ya mbinguni Mkijongea kwake atawapa uzima wa milele Chorus Twendeni kwake Bwana, tumwabudu na tumsifu mwokozi (mwokozi yesu) na tupige makpofi, tumsujudie mwamba wa wokovu, wokovu wetu, ndiye asili ya uhai wetu, ni Mungu wetu tumwimbie nyimbo tumsifu, Ndiye Mkuu 2.Ngoma safi na nyimbo tumchezee na tumwimbie Mungu Zeze na ala zote zichezwe kwa utaratibu wake 3. Kweli kwa Bwana wetu kuna furaha shangwe na vifijo Malaika wa mbingu na watakifu wanamsifu 4. Tukizingatia sheria ya Bwana Mungu wetu Tunapendezwa nayo mno ajabu tunafurahia 5. Yeye alituumba ili tumjue na tumpende Karama zetu zote ni zake ili tumtumikie 6. Mungu alikuwepo aliye sasa hata na milele Kama ilivyo mwanzo na ndivyo sasa hata siku zote
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa