Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 26 Mwaka A
BWANA YOTE ULIYOTUTENDEA
Ee Bwana yote uliyotutendea umeyatenda kwa haki, kwakuwa sisi tumetenda dhambi, wala hatukuzitii amri zako x2
1. Ulitukuze jina lako nakututendea sawa sawa, na wingi wa huruma yako