Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 26 Mwaka C
EE NAFSI YANGU
Ee nafsi yangu umsifu Bwana, Ee nafsi yangu umsifu Bwana x2
1.Bwana huishika kweli milele , huwafanyia hukumu walioonewa, huwapa wenye njaa chakula, Bwana huwafungua waliofungwa