Ingia / Jisajili

Njooni Nyote Tumwabudu Bwana

Mtunzi: Stephen Wambua Mutua
> Mfahamu Zaidi Stephen Wambua Mutua
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Wambua Mutua

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Stephen Wambua Mutua

Umepakuliwa mara 16 | Umetazamwa mara 20

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Njoo ni nyote tumwabudu Bwana, kwa nyimbo tamu furaha na shangwe,

Ukai nyw'onthe tumwinie Mwiai kwa mbathi nzeo utanu na ngatho

(Ukai nyw'onthe tumuthaithe) x2

1.      (Dunia nzima tukuzeni Bwana ngoma na kayamba tumcheze ee) x2

2.      (Hii ni siku aliyoifanya Bwana tuifurahie tuishangilie) x2

3.      (Asa nitwoka mbee waku Asa Na twinyivitye utuathime

Hitimisho

Pokea sifa na utukufu, Nguma na ngatho ni syaku Asa, unastahili kuabudiwa, wewe ni Alfa na Omega


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa