Hoh! Nyamaza tu kumbuka Israel mtegoni mwa Farao mbele yao bahari ya Shamu nyuma jeshi kubwa la Farao,
Hoh! Mtazame mtumishi Daudi mbele ya shujaa Goliath, jifunze kwa Daudi mkononi mwake kombeo tu na jiwe dogo lisilo kitu ila Goliath kubeba silaha Tena Ni jemedari wa vita....