Ingia / Jisajili

Msaada Wangu

Mtunzi: John D. Kajala
> Tazama Nyimbo nyingine za John D. Kajala

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: John Kajala

Umepakuliwa mara 756 | Umetazamwa mara 3,083

Download Nota
Maneno ya wimbo

Kiitikio:

Msaada wangu, u - katika Bwana, aliyezifanya Mbingu na nchi x2

Mashairi:

  1. Nitayainua macho yangu niitazame milima, msaada wangu utatoka wapi!
  2. Asiuache mguu wako mguu wako usogezwe, yeye akulindaye, asisinzie.
  3. Bwana Bwana atakulinda na mabaya yote, atakulinda nafsi nafsi yako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa