Ingia / Jisajili

Msalaba

Mtunzi: Alvin Marie
> Mfahamu Zaidi Alvin Marie
> Tazama Nyimbo nyingine za Alvin Marie

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Alvin Marie

Umepakuliwa mara 16 | Umetazamwa mara 53

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ni vema kujivunia msalaba; msalaba wa bwana Yesu Kristu. kwa njia yake Mungu mwenye enzi ameleta wokovu kwetu wanadamu. msalaba wake Bwana Yesu (leo) umetukuka (na) umeadhimishwa. (Ushindi wa) Msalaba chombo cha mateso, kageuka chombo cha ushindi mkuu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa