Mtunzi: Daniel Denis
> Mfahamu Zaidi Daniel Denis
> Tazama Nyimbo nyingine za Daniel Denis
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Daniel Denis
Umepakuliwa mara 1,416 | Umetazamwa mara 3,725
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 25 Mwaka C
Kiitikio: Msifuni, msifuni Bwana, msifuni, msifuni Bwana anayewakweza maskini.
1. Aleluya, enyi watumishi wa Bwana, sifuni, sifuni, lisifuni jina la Bwana, jina la Bwana lihimidiwe, tangu leo na hata milele
2.Bwana ni mkuu juu ya mataifa yote,na utukufu, na utukufu, utukufu wake ni juu ya mbingu, ni nani aliye mfano wa Bwana Mungu aketie juu, anyenyekeaye kutazama mbinguni na duniani.
3.Humwinua, humwinua mnyonge toka mavumbini, nakumpandisha, maskini, maskini kutoka jaani, amketishe pamoja na wakuu, pamoja na wakuu wa watu wake.