Ingia / Jisajili

Msifuni Bwana Huwaponya Waliopondeka Moyo

Mtunzi: Caspary Philimon
> Mfahamu Zaidi Caspary Philimon
> Tazama Nyimbo nyingine za Caspary Philimon

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani | Zaburi

Umepakiwa na: Caspary Philimon

Umepakuliwa mara 312 | Umetazamwa mara 1,005

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO Msifuni Bwana Huwaponya waliopondeka Moyo. MASHAIRI. 1.Msifuni Bwana Maana ni Vema Kumwimbia Mungu wetu maana kwa pendeza Kusifu ni Kuzuri. 2.Bwana Ndiye Aijengaye Yerusalemu, Huwakusanya, Waliotawanyika Waisraeli.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa