Ingia / Jisajili

Msifuni Mungu

Mtunzi: John Mlewa
> Mfahamu Zaidi John Mlewa
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mlewa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: John Mlewa

Umepakuliwa mara 266 | Umetazamwa mara 1,099

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MSIFUNI MUNGU Na. John Mlewa //: Msifuni Mungu, Msifuni Mungu, Msifuni katika patakatifu pake/ Msifuni kwa matendo yake makuu:// Mashairi 1. Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana, msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake. 2. Msifuni kwa mvumo wa baragumu, msifuni kwa kinanda na kinubi. 3. Msifuni kwa matari na kucheza, msifuni kwa zeze na filimbi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa