Mtunzi: John Mlewa
> Mfahamu Zaidi John Mlewa
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mlewa
Makundi Nyimbo: Zaburi | Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: John Mlewa
Umepakuliwa mara 354 | Umetazamwa mara 1,794
Download Nota Download MidiEE MUNGU UNISIKILIZE NA KUNIJIBU
(Zab. 55: 1-5)
(Kwa tafakari zaidi).
By John Mlewa
St. Monica Choir_Sinza Parish
30.10.2015
Tel. +255 717 317 630.
Kiitikio:
Ee Mungu uisikilize sala yangu, wala usijifiche nikuombapo rehema x2
Unisikilize na kunijibu, nimetangatanga nikilalama nakuugua x2
Mashairi:
1. Kwa sababu ya sauti ya adui, kwa sababu ya dhuluma yake yule mwovu.
2. Kwa maana wamenitupia uovu, na kwa ghadhabu wameniudhi.
3 Moyo wangu unaumia ndani yangu, na hofu za mauti zimeniangukia.
4. Hofu na tetemeko limenijia, na hofu kubwa imenifunikiza