Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Halisi Ngalama
Umepakuliwa mara 328 | Umetazamwa mara 1,625
Download Nota Download MidiMsiwiwe na mtu chochote isipokuwa kupendana kwa maana ampendaye mwenzake ameitimiza Sheria×2 Maana kule kusema usizini usiue usiibe usitamani na ikiwapo amri nyingine yoyote inajumlishwa katika neno hili ya kwamba mpende jirani yako Kama nafsi yako×2
1; Pendo halimfanyii jirani neno baya basi Pendo ndilo utimilifu wa sheria.
2; Tuwe mfano Bora wa kuigwa kwa wenzetu hivyo tuishike sheria kuu ya mapendo.