Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Halisi Ngalama
Umepakuliwa mara 428 | Umetazamwa mara 1,830
Download Nota Download MidiKiitikio
Yes alijibu akasema (nakushukuru baba Bwana wa mbingu na nchi kwa kuwa Mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili ukawafunulia watoto wachanga)X2
Shairi
1: Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na kuekemewa na mizigo nami nitawapumzisha.
2:Jifunzeni toka kwangu ninawasihi mkifanya hivyo Baba yangu atawapenda siku zote.
3:Jitieni nira yangu mkajifunze kwa kuyatimiza yale yote niliyowamuru ninyi