Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mazishi | Mwanzo
Umepakiwa na: Halisi Ngalama
Umepakuliwa mara 595 | Umetazamwa mara 2,214
Download Nota Download MidiKama kristo hangalikufa akafufuka vivyohivyo na hao waliolala katika Kristo Mungu atawaleta pamoja nayeX2
1; Kwa kuwa kama katika Adamu wote wanakufa kadhalika na katika kristo wote watahuishwa.
2; Tujiandae katika maisha haya ya dunia siku yetu ikishawadia tukaishi mbinguni.