Ingia / Jisajili

Miisho yote ya dunia imeuona wokovu

Maneno ya wimbo

Miisho yote ya dunia imeuona (wokovu) wokovu wa Mungu wokovu wa Mungu wetuX2

1; Mwimbieni bwana wimbo mpya kwa maana ametenda  mambo ya ajabu mkono wa kuume wake mwenyewe mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.

2:Bwana ameufunua wokovu wake machoni pa mataifa amedhihirisha haki yake amezikumbuka rehema zake na uaminifu wake kwa nyumba ya Islaeli.
Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa